nimeona mara nyingi unapenda mabishano ya kijinga hapa JF,mie hata hunipati kiranga!!jaza mashudu yako ukimaliza tambaa,,,,muda wa kupoteza na wewe hata sinao!
Mabishano ya kijinga kwa standards za nani? Kukemea uomba omba ndiyo ujinga? Kukataa matumizi mabaya ya pesa za umma ndiyo ujinga? Kuwaambia watu waishi within their means ndiyo ujinga?
Kati yangu mimi ninayepinga mambo haya na wewe unayetetea nani analeta mabishano ya ujinga?
Umeshajibu ndiyo maana yake nishakupata, huwezi kukataa kwamba sijakupata wakati ukweli umekuchoma moyoni mpaka ukaamua kujibu.
Kiranga na wewe kama mtu ana shida asiombe. ndio maana watu wanakufa na BP kisa wanaweka matatizo moyoni
matumizi mabaya ya pesa ni yap??
Kiranga na wewe kama mtu ana shida asiombe. ndio maana watu wanakufa na BP kisa wanaweka matatizo moyoni
matumizi mabaya ya pesa ni yap??
Habarini za asubuhi ndugu wapendwa.
Ikiwa leo ni tarehe moja na bado kama siku nne napenda kuzidi kuwakumbusha wale wote wenye mapenzi mema kuwa bado naendelea kupokea michango mbalimbali itakayoniwezesha kwenda kuwaona Nguli wa futiboli Duniani.
Shukrani zangu za dhati ziwaendee wote walioonyesha nia ya kunisaidia kama akina Tete'a'tete,Roya roy,Masanilo na Genekai.Pia shukrani ziwaendee Ubungo ubungo,Fab na Mundu kwa upeo wao wa kuelewa na hata kumpa majibu stahiki ndugu Kiranga aliyekuja na shutuma lukuki kwa sababu eti nimeitisha harambee hii.
Ndugu Kiranga naomba uelewe kuwa hii ni haki yangu na nimethubutu ku-talk openly kama jinsi moto ya jeiefu ilivyo.Shutuma zako za kunikejeli naona hapa sio mahali pake na jaribu kuwa na hekima(huwa inatafutwa).Hata serikali yetu nayo inaomba ije iwe mimi?( sihalalishi uombaomba lakin hii ndio hali halisi)
Na kwa wale walioonyesha moyo wa kunichangia lakini kwa masharti fulani fulani nawaambia wazi SIPO TAYARI kupokea mchango kwa sharti la aina YOYOTE(Mtanisamehe).Kutoa ni moyo na si masharti.
Nawatakia siku njema na mbarikiwe na Bwana mnapoendelea na utoaji.
kiranga .........................nasikia Zitto kabwe kaipa BRAVO serikali kwa kutuletea Brazil .....hii kitu imekaaje? ( kuna mtu alimnukuu katika moja ya threads)
Kiranga unamshambulia Charity wa watu kisa kaomba kuchangiwa aione mechi ya Brazil na Taifa Stars. Kwani kuna ubaya gani akiomba huo mchango na watu wakampa kwa hiari zao akaenda kuona?? Kwani kuna ubaya gani sana wa yeye angalau once in her lifetime aone Brazil ikicheza na nchi yake na kuishangilia nchi yake??? Kwani mtu haruhusiwi kufanya kile anachopenda ikiwa ni pamoja na kuangalia mpira LIVE kwa sababu tu Serikali imetumia taxpayers money(which ofcourse its not right) kuwaleta hao Wabrazil kucheza a friendly match??? What really is your point that you have been trying to make all this time???? (dont be a hater though usinishambulie na undiplomatic words/tone to say the least)
Nisaidie mamii,naona huyu ana lake jambo.Nadhani itakuwa matatizo ya kifamilia.Kiranga unamshambulia Charity wa watu kisa kaomba kuchangiwa aione mechi ya Brazil na Taifa Stars. Kwani kuna ubaya gani akiomba huo mchango na watu wakampa kwa hiari zao akaenda kuona?? Kwani kuna ubaya gani sana wa yeye angalau once in her lifetime aone Brazil ikicheza na nchi yake na kuishangilia nchi yake??? Kwani mtu haruhusiwi kufanya kile anachopenda ikiwa ni pamoja na kuangalia mpira LIVE kwa sababu tu Serikali imetumia taxpayers money(which ofcourse its not right) kuwaleta hao Wabrazil kucheza a friendly match??? What really is your point that you have been trying to make all this time???? (dont be a hater though usinishambulie na undiplomatic words/tone to say the least)
Nisaidie mamii,naona huyu ana lake jambo.Nadhani itakuwa matatizo ya kifamilia.
Shida unaiona wapi hapa? Hii anasa unataka kuiiita shida? Hivi mtu asipowaona Brazil atakatika mguu? Atakufa? Atakosa elimu? Atakosa chakula? Atakosa maji?
To the contrary, mtu asiye na uwezo wa kwenda kwenye mechi hii, akijilazimisha kwenda, akirudi nyumbani anaweza kukosa kodi ya nyumba, anaweza kukosa ada ya shule, anaweza kukosa hela ya kwenda hospitali, anaweza kukosa chakula, anaweza hata kuongeza chances za mabalaa ya kuleta kufa.
Kwa hiyo kama unaangalia kwa makini, shida iko wapi hapa, utaona shida si kukaa nyumbani na kukataa kwenda kwenye hii mechi, shida ni kwenda kwenye hii mechi.
Haya matumizi ya $ 6 million dollar kwa nchi masikini kama Tanzania katika anasa kama hii kwa siku moja unaona sawa?
Unafanya homework yako? Unajua hayo ni mapato ya watanzania wa ngapi wa kawaida kwa mwaka mzima? Unajua tungeweza kununua vitanda vingapi kwa wagonjwa wetu wanaolala chini na kuchangia vitanda? Unajua tungeamua kununua madawati tungenunua mangapi kwa hela hizo?
Acha kuleta mzaha hapa.
Kiranga una matatizo.siioni dhambi yangu ya kuomba.Usitake kunibebesha makosa ya SERIKALI ya kuileta Brazil na ukataka nijifeel guilty.Umechelewa sana ndugu yangu.Nishakuambia hata wewe unaombaomba vilevile kwa maana rais wako akienda kuomba ulaya basi amekuwakilisha.Na usitake kuniambia kwamba wewe huwa huombi na hutakuja kuomba kwani kuomba sio lazima iwe pesa.
Usitake kuwaogopesha watu kunichangia wenye mapenzi mema.kaa na roho yako mbaya ya kutotaka kusaidia wenzio.
Kiranga kaka yangu matatizo ya kifamilia sio pesa tu.Eti kwa vile familia yangu au CHRISPIN hana hela ya kunipeleka kuiona Brazil basi ndo nongwa.Kati yangu mimi na wewe ambaye umeshatiuambia bwana wako heshi kwenda kwenye mabaa huko wakati wewe uko nyumbani nani ana matatizo ya kifamilia?
Kati yako wewe ambaye familia yako imeshindwa kukuhudumia mpaka unakuja kuomba omba hapa JF, nani hasa an matatizo ya kifamilia?
Kati yako wewe unayeingia katika kishawishi cha kupakatwa na mapedejee ili uende kuona Brazil na mie nilie chill, nani ana matatizo ya kifamilia?