Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

Jamani wananchi nyie naona mnakoelekea sio kabisa mambo ya kupimiana zawadi za mil 15 sijui mshahara wa laki 1 sio kabisa.

Kiranga kama hutaki kumchangia Charity (ambayo si lazima anyway) just drop it. Tushajua msimamo wako kwamba hutaki then thats it you dont have to go this extreme ya kushow off how much you get how much you give and all that kind of babling sawa.Hakuna mtu anapenda kuombwa au kuomba ila ndo maisha yalivyo.

Charity huna haja ya kuendeleza malumbano na Kiranga kwa sababu mnaeza kuharibiana siku bure na ndo kwanza saa 4 labda yeye huko kwake ni usiku au jioni (by the sound of it that he is coming in July.....). Subiri kupata michango ya wapwazz na binamuzz wenye heri ya kukutaka uende ukaone mechi hiyo sawa dada yangu.

Kwa sababu imekuwa ni kama malumbano kwa kweli ambayo yanarise the temperature high jukwaani. its better to call it quits kila mtu asepe kimtindo wake.

Muwe na siku njema. Peace and love y'all!!!
Asante JS kwa busara zako.
 
jamani weeee ......these football stars are overated anyway! ....trust me charity .......if u dont love football and enjoy the game dont go there to waste ur time..............no point in wasting about 6 hours ( kwa traffic ya bongo) and alot of money to look at a pretty boy like Kaka ( i will rather look at Italian bad boys with tattoos myselfy)

nishaona real madrid, manchester na juventus ........i went to c ivory cost and Taifa stars even. kutoka uwanjani, hasa huo wa bongo, u can hardly see the players' face clearly.......and i was on the VIP so kwa viti vya elfu 30,000 u wont c a damn thing than football.

so just go if u feel the game, if not......watch the pretty boy from the tv screen. .....u will c him better any way lol
Asante Gaijin,ni vile mwenzio sijawahi ona hata simba na yanga au hata Taifa Stars na Sudan ndio nikasema this time is my chance.
 
Asante Gaijin,ni vile mwenzio sijawahi ona hata simba na yanga au hata Taifa Stars na Sudan ndio nikasema this time is my chance.

Baada ya kugundua wewe ni Simba damu mchango wangu nimeukimbiza mbali...ukipata kiingilio nina ticket za dili nitafute.
 
Charity which team u r going to u support? Brazil or Taifa Stars
 
kwanza charity ..................bongo bwana mechi kubwa hizo kutakuwa na FFU wanataka sifa! na Ivory Cost tu watu walipigwa na bakora na maji kutoka gari la Fire sijui lile la polisi. mie nilijuta!

fikiri sasa hicho kishindo cha kulinda Brazil tena karibu na world cup! waache wanaume wende wakapambane na ghasia unless unaingia na gari lako kwenye parking ya ndani ya uwanja......hapo nenda hata na Jimmy Choo yako! 😀
 
Asante Gaijin,ni vile mwenzio sijawahi ona hata simba na yanga au hata Taifa Stars na Sudan ndio nikasema this time is my chance.

Fine,

Tafuta hela zako basi, si utake kuwaingiza watu gharama kwa anasa zako. Unaona sasa wengine hata hawaamini kwamba hii enterprise is worth it.

Otherwise kubali kwamba this is above your means, do the responsible thing, do what you need to do not what you want to do. Lipa bills zako, nunua chakula etc. Usiendekeze anasa wakati huwezi kuzimudu.
 
kiranga .......hakuna mwanamke bongo atakaeitaka elfu 30 (hadi laki moja) akaikosa kama kweli yeye ni mtu wa kupenda vya kunyonga. kuna watu wa serikalini pesa hawaijui maana yake, wanawamwagia tu wanawake.

ukiona mtu kaja 'kuomba' hapa JF jua si muombaji huyo wala hana tabia za kuomba, ................anachangamsha jukwaa tu

my take
 
Baada ya kugundua wewe ni Simba damu mchango wangu nimeukimbiza mbali...ukipata kiingilio nina ticket za dili nitafute.
Wewe huna nia tu.Mie sio Simba wla Yanga.Labda Azam waje waniombe nitakuwa mwanachama wao.

Charity which team u r going to u support? Brazil or Taifa Stars

Mie huwa nina-Support timu inayoshinda.Sasa hapa tayari unalojibu kuwa nani atafungwa siku hiyo.au unataka niendelee kutaja?(Uzalendo kazi kweli)
 
hahaha charity wasikudanganye wakataka uwe mzalendo peke yako...........walimshangilia drogba utasema kazaliwa Mtwara!

Kaka akipiga chenga shangiria uzuri sana, burudisha roho yako..................hasa kwa viingilio vyenyewe vya 80,000! na hata kama una jazi ya Brazil pia vaa 😀
 
Fidel80 naomba kuuliza hivi Teamo ndio Geoff naona watu mnabadirisha tu majina kama vile mnadaiwa :gossip:
 
kiranga .......hakuna mwanamke bongo atakaeitaka elfu 30 (hadi laki moja) akaikosa kama kweli yeye ni mtu wa kupenda vya kunyonga. kuna watu wa serikalini pesa hawaijui maana yake, wanawamwagia tu wanawake.

ukiona mtu kaja 'kuomba' hapa JF jua si muombaji huyo wala hana tabia za kuomba, ................anachangamsha jukwaa tu

my take

Mimi simjui huyu dada na wala yeye hanijui. Kwa hiyo siwezi kusema kama kweli anahitaji hizo hela au la.

Inawezekana anategeshea ma pedeshee tu vile vile.

Sijampinga yeye binafsi, napinga ideas anazozi represent hapa JF. Ombaomba ni noma kama ukoma, hata kufanyia utani kwangu mwiko.

Si ndiyo maana ya JF, meeting place of ideas, au siyo?
 
kiranga .......hakuna mwanamke bongo atakaeitaka elfu 30 (hadi laki moja) akaikosa kama kweli yeye ni mtu wa kupenda vya kunyonga. kuna watu wa serikalini pesa hawaijui maana yake, wanawamwagia tu wanawake.

ukiona mtu kaja 'kuomba' hapa JF jua si muombaji huyo wala hana tabia za kuomba, ................anachangamsha jukwaa tu

my take

Gaijin ..hivi hujachukua form ya ubunge jimboni kwako?
 
Fidel80 naomba kuuliza hivi Teamo ndio Geoff naona watu mnabadirisha tu majina kama vile mnadaiwa :gossip:
What? ndio maana na mimi nikawa nashangaa.Niliiona post moja inakanganya ,nikawa najishtukia labda mie ndio nina tatizo siku hizi.
FL1 kweli unajua kusoma kati ya mistari.Ngoja nikatafute evidence.
 
kwanza charity ..................bongo bwana mechi kubwa hizo kutakuwa na FFU wanataka sifa! na Ivory Cost tu watu walipigwa na bakora na maji kutoka gari la Fire sijui lile la polisi. mie nilijuta!

fikiri sasa hicho kishindo cha kulinda Brazil tena karibu na world cup! waache wanaume wende wakapambane na ghasia unless unaingia na gari lako kwenye parking ya ndani ya uwanja......hapo nenda hata na Jimmy Choo yako! 😀
Kumbe ndio balaa lake hilo.Usijenifanya nibadili mawazo sasa hivi.
 
Mwanakijiji alisema kwamba Gharama za Ufisadi hulipwa na Maskini, As I know most of Football fans are poor na kwa hali hii ya Kiingilio cha Anasa basi Uwanja utajazwa na Mafisadi na wale wataokubali kulipa Gharama za UFISADI
 
Hii mimi nitaangalia pale Sisimizi bar. Michango ikitosha karibu Sisimizi, mie nitakupa ofa ya kinywaji ndio mchango wangu.
 
Mwanakijiji alisema kwamba Gharama za Ufisadi hulipwa na Maskini, As I know most of Football fans are poor na kwa hali hii ya Kiingilio cha Anasa basi Uwanja utajazwa na Mafisadi na wale wataokubali kulipa Gharama za UFISADI

Mazee si unaona wengine washaanza kupiga Harambee hapa?

Kujitutumua tu ilimradi na wao kuiga tembo kunya tu.
 
Nimesoma kule kwa Michuzi kuwa zile tiketi za laki mbili zimeisha! Sijaelewa zilikuwa chache sana (kama 10 tu hivi) au ni watu wana mkwanja wa kufa mtu?
 
Back
Top Bottom