Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
- Thread starter
- #161
Tutofautiane kwa hoja ila sio kutukanana!!
Dah! short and clear.mbona leo wengi mnaongea point sana japo wengine ndo hivo tena.Kale kabatani sijakaona ningekugongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutofautiane kwa hoja ila sio kutukanana!!
Hujasema uko mkoa/nchi gani ili nikuandalie na sehemu ya kufikia hapa jijini!!
hujawai pata neno zuri hata siku moja, yaliyokujaa moyoni ndo hayo tu.....
wee Kiranga unabore!wacha kuharibu mada ya mwenzio....
sasa hapo meenda mbali, jamani kwa nilivyoelewa Charity alikuwa anaiburudisha j3 iliyokuwa imepooza tu, kuna thread alihangia kwamba hawezi kutoa hiyo pesa wakati ana majukumu yake kufanya zaidi ya kwenda kuwaangalia hao Brazil, watu mpo sensitive mpaka mnashindwa kutofautisha utani na mambo serious, wewe kataza jamaa/familia yako ichudhurie lakini wenye kuweza kuhudhuria iwe kwa kuchangiwa/kutoa mwenyewe waache wafanye hivyo, kapambane na serikali yako yenye matumizi mabaya na sio mtoa thread ambaye hata hivyo alikuwa anachangamsha mabo tu na blue monday...khaa.
Aliyeanza kusema mambo ya familia si mimi, yeye mwenyewe kaanza kuniambia nina matatizo ya familia.Ndiyo nikamjibu wewe bwana wako heshi kujinafasi na mabaamedi kwenye mabaa, angechanga hizo hela na kuziweka benki labda ungeweza kuwa na kiingilio.
Lakini inaonekana familia nzima haina financial discipline, matokeo yake unakuja kuomba omba hapa.
Sasa mimi ninayehudumia familia yangu, na wala sijaomba msaada hapa na yeye ambaye familia yake haiwezi kumhudumia nani ana matatizo ya kifamilia?
As a principled man I would not under any circumstance support this stupidity and I never break my principles no matter what. It is wrong for the govt. to cough up that kinda money for a one day event that has no real benefits whatsoever while there are real and legit problems where that kind of money could be earmarked and it is equally wrong for any sensible person to support it, whether directly or indirectly.
If you are a sensible, upstanding citizen and know that what the govt. is about to do or has done is wrong, then you ought to be outraged by this. I will not spend my hard earned money to go and watch that match. By going to see it shows to me that you are not outraged and you support them (the govt.) fully. You are enabling them in misusing our meager resources.
So Kiranga, as the Q-Dwag told you yesterday, most of these folks here don't understand where you are coming from. You obviously think on different wavelengths.
It is not complicated logarithm. It's as simple as ABC. You are just as wrong when you support someone or something that is wrong.
And we sit here and wonder how come we are poor? How come we don't develop? How come our hospitals are overcrowded? Why our school kids sit and "learn" under baobab trees? FMES said it best: our leaders are a reflection of ourselves - the people.
With these parting words I say...., I'm not saying....., but you know what I want to say. There is a method in madness y'all.
hivi kiranga, kwa akili yako unafikiri uyu mdada alikuwa anaomba msaada kweli? alikuwa na message yake aliyotaka kufikisha kwa jamii tu indirectly kuhusu hizo billions walizokula brazil, sasa wewe umekomalia kama unatoka shamba bwana, yaani haujaelewa tu? unafikiri hapa jf watu hawana hela kweli...
Ipo kazi- NANI ZAIDI:
AS OF TODAY
Kiranga post >1980 ,dada Charity posts >2450.
Kiranga Jan.2009,dada Charity July 2009.
Kiranga unaonaje ukimuachia dada Charity na waja wake akamaliza shughuli yake? Maana jamaa wameisha anza tu PM eti wewe ni CUF si mfianchi!
BTHW dada Charity ww kama ni Mmasai original hiyo kiingilio si ngombe 1 tu?:hug:
Tatizo ni watu kuunga mkono ujinga bila hata ya kutambua kuwa wanaunga mkono ujinga. Kutumia mabilioni hayo yote kuileta timu ya taifa ya Brazil kucheza mechi ya kirafiki na timu yetu ya taifa ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu chache.
Kibaya zaidi ni pale watu wanaposema kwa vile tayari serikali imeshaamua kuwaleta hao Brazil, basi hatuna jinsi ni heri tu tukaione hiyo mechi. Hii ni defeatism attitude. Hakuna anayeoneshwa kukasirishwa na kitendo cha serikali kutumia vibaya hela za walipa kodi na hela za wahisani. Huwezi ukajidai kusema eti umekasirishwa na serikali imekosea kuwaleta hao Brazil kwa ada hiyo halafu kwa wakati huo huo unatasema utaenda au unataka kwenda kuiangalia hiyo mechi. Kufanya hivyo ni kutokuwa na mwongozo wa kanuni. Nadhani Nyerere aliwahi kusema kuwa ukiishi kwa kuvunja vunja kanuni basi ipo siku kanuni itakuvunja wewe.
Hapa wengi wetu, kama si wote tulipaswa kulaani kitendo hiki cha serikali cha kutojali hali ngumu ya wananchi wake na kuendekeza kitu ambacho hakina uhusiano wa moja kwa moja na maisha ya Mtanzania wa kawaida ambaye watoto wake wanasoma chini ya miembe au mama mjamzito anayelala kwenye sakafu hospitalini. Tulipaswa kulaani si kwa maneno tu bali matendo pia. Wote watakaokwenda kuangalia mechi hiyo ni wawezeshaji wa hawa viongozi ambao kwa kweli wala si viongozi.
It's only in Tanzania or rather Africa (coz I heard Zimbabwe, of all countries, has paid them a good sum too to play their team) should I say, where this kind of foolishness happens with impunity. And anybody who co-signs on it needs their head examined, seriously.
Katabazi mie sishindani na mtu yeyote hapa JF,sina muda huo.As long as nimetoa hii post yangu sijam-offend mtu yoyote basi nina haki ya ku-present ninachokitaka.Ipo kazi- NANI ZAIDI:
AS OF TODAY
Kiranga post >1980 ,dada Charity posts >2450.
Kiranga Jan.2009,dada Charity July 2009.
Kiranga unaonaje ukimuachia dada Charity na waja wake akamaliza shughuli yake? Maana jamaa wameisha anza tu PM eti wewe ni CUF si mfianchi!
BTHW dada Charity ww kama ni Mmasai original hiyo kiingilio si ngombe 1 tu?:hug:
Katabazi mie sishindani na mtu yeyote hapa JF,sina muda huo.As long as nimetoa hii post yangu sijam-offend mtu yoyote basi nina haki ya ku-present ninachokitaka.
Tatizo watu wanapenda kuingilia uhuru wa wenzao na kuwachokonoa hadi machoni.Wengine shari hatujazoea.
wee Kiranga unabore!wacha kuharibu mada ya mwenzio....
Ni kweli kabisa wamezoea shari-tuwafanyeje sasa hawa ali mradi wameishaingia na wamekuvamia mpaka kwenye thread yako-mungu ashukuriwe hawajui ulipo,wangekuwa wamekwishakuja,ukiwanyamazia watazoea na wataendelea kukuchokonoa mpaka upasuke,unaonaje ukifuata msemo wa wahenga,akunyimae maneno.............:confused2:
[/COLOR][/SIZE]
Neno la Mungu katika Rum 12:14-21 inasema hivi.........
14Wabarikini wanaowaudhi;barikini,wala msilaani.
15Furahini na pamoja nao wafurahio;lieni pamoja nao waliao.
16Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi.Msinie yaliyo makuu,lakinimkubali kushughulishwa na mambo manyonge.Msiwe watu wa kujivunia akili.
17Msilipe mtu ovu kwa ovu.Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
18Kama yamkini,kwa upande wenu,mkae katika amani na watu wote.
19Wapenzi,msijilipize kisasi,bali ipisheni ghadhabu ya Mungu Mungu;maana imeandikwa,kisasi ni juu yangu mimi;mimi nitalipa,anena Bwana.
20Lakini ,Adui yako akiwa na njaa,mlishe;akiwa na kiu, mnyweshe;maana ufanyapo hivyo,utampalia makaa ya moto kichwani pake.
21Usishindwe na ubaya,bali uushinde ubaya kwa wema.
kwa mantiki hiyo mimi namwachia Mungu ashughulike na Kiranga na wote wanaofanana na yeye wanaotaka kuwakwaza wenzao.Nambariki kwa jina la Bwana.
Natoa Dedication wimbo wa gospel wa Neema Mushi unaitwa RAHA JIPE MWENYEWE(anayeweza kuniwekea hapa live ntashukuru).
Nadhani umenipata Kata
Katabazi sikiliza.Mie sikatai Critisism lakin isiwe matusi.NOOOOOO,matusi au lugha isiyopendeza siifagilii.My dear sister Charity nimekupata ,sasa kwenye hizo blue/bold juu mbona unakuwa kama ungependa baadhi ya watu humu wapate adhabu-na hata ikiwezekana kutoka kwa mungu?Kuna mtu ambaye amesema katika JF ili upate uhondo/utamu wa thread yako ni vizuri ukapata criticism,sasa hao si ungewakubali kwa maoni yao ?regardless kama ndio wamekupata wewe kama a way to earth out their stresses or what?Dooo umenifurahisha na jinsi unavyotumia biblia-hivi hapo kwenye zaburi nasikia kuna kijisehemu kinamaanisha mtu ukiisoma vizuri biblia unaweza hata kum punish mtu akapata mambo amabayo ni mabaya kama ugonjwa nk?Huku niliko sina access ya biblia. Nasikia tkt Tanzania zimeanza kutolewa bure za millions of money-si ungejaribu na huko dada?:blah: