Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

Acha one track mindedness. Nikikwambia namwambia ukweli huyu dada kwa sababu napenda maendeleo yake huwezi kuelewa.

I bet she don't even know what a one track mind is....

Halafu angemwuliza mwanzilishi wa mada....kuomba kuchangiwa hela kwenda kuiona Brazil kunahusiana nini na mapenzi
 
...ungekuwa na evidence hii sio mara ya kwanza dada charity kuomba,ningekuelewa zaidi,,,

...hizi ni story zako,havina uhusiano na si sawa,unalazimishia ionekane ni sawa mpk unatia aibu...!

Teja likikuomba ili liende kujidunga haijalishi kwamba ni mara ya kwanza linaomba au vipi. Ukilipa utakuwa umechangia kuliua.
 
Marhabaa....mama hajambo nyumbani?


Siku ya Brazil si umeme ulizimwa kati ya mechi vile au?
 
Hehehehe.... vyombo viligoma kumwimbia rais wimbo wa taifa LOL

Na Kaka akenda kukumbatiwa huku polisi wanashangaa tu ...............lolz

Ila suala la ufanisi wa harambee linamfaa huyo huyo ulomlenga
 
hivi gharama zililipwa na nani? serikari au TFF? maana nilisikia wakilalamika kupata hasara
 
hivi gharama zililipwa na nani? serikari au TFF? maana nilisikia wakilalamika kupata hasara

Hivi kwani mapato yalitangazwa? Kama kawaida yetu kila kitu kiliwekwa chini ya mkeka tukaendelea na shughuli zetu burdaaan wa sharaba!
 
Back
Top Bottom