Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Neno la Mungu katika Rum 12:14-21 inasema hivi.........
14Wabarikini wanaowaudhi;barikini,wala msilaani.
15Furahini na pamoja nao wafurahio;lieni pamoja nao waliao.
16Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi.Msinie yaliyo makuu,lakinimkubali kushughulishwa na mambo manyonge.Msiwe watu wa kujivunia akili.
17Msilipe mtu ovu kwa ovu.Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
18Kama yamkini,kwa upande wenu,mkae katika amani na watu wote.
19Wapenzi,msijilipize kisasi,bali ipisheni ghadhabu ya Mungu Mungu;maana imeandikwa,kisasi ni juu yangu mimi;mimi nitalipa,anena Bwana.
20Lakini ,Adui yako akiwa na njaa,mlishe;akiwa na kiu, mnyweshe;maana ufanyapo hivyo,utampalia makaa ya moto kichwani pake.
21Usishindwe na ubaya,bali uushinde ubaya kwa wema.
kwa mantiki hiyo mimi namwachia Mungu ashughulike na Kiranga na wote wanaofanana na yeye wanaotaka kuwakwaza wenzao.Nambariki kwa jina la Bwana.
Natoa Dedication wimbo wa gospel wa Neema Mushi unaitwa RAHA JIPE MWENYEWE(anayeweza kuniwekea hapa live ntashukuru).
Nadhani umenipata Kata
charity plz give us a break.....hapa itabidi nikukosoe sista
dont go 'fool around' with ppl kisha umuingize Mungu kati kati. Mungu hapendi kuingizwa kwenye mambo ya kipuuzi hata kidogo.
u were joking, kiranga didnt get it, he assassinated ur character, u assassinated his
then unamshitakia mungu amlipe kiranga! akilipwa hapa my dear u will also get ur fair share!
let jokes and discussions remain as that........
lets leave God out of it