Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
hehehehe!nakuletea taska VUGUVUGU maana hali ya hapo ROCK-CITY leo naona sio yenyewe hiviTeamo..Chrispin naomba Tusker baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehe!nakuletea taska VUGUVUGU maana hali ya hapo ROCK-CITY leo naona sio yenyewe hiviTeamo..Chrispin naomba Tusker baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana ..
FL acha Tough love itembezwe mara moja moja ..................as long as nobody takes it seriously and doesnt get personal, sioni tatizo
hapa mwenzio nimeanza kuchukulia kama imekuja thread na jina ........kuomba kunaruhusiwa au la?
hehehehe!nakuletea taska VUGUVUGU maana hali ya hapo ROCK-CITY leo naona sio yenyewe hivi
Sawasawa
Kuomba kunaruhusiwa, lakini kuwe kuomba kwenye akili.
Sio teja linakuja, linataka kufanya anasa zake za madawa ya kulevya, anasa ambazo zitaliua, halafu linakuomba.
Ukilipa teja hapo damu yake itakuwa juu yako.Maana liki overdoze huko watu watasema "fulani na fulani walikuwa wanampa hela ajidunge"
Huyu dada ni teja, teja wa high life na anasa ambazo hawezi kuzimudu. Ukimpa hela utakuwa unamuwezesha kuendeleza uteja.Siku moja ataoverdoze maisha yake yote yatakuwa topsy turvy.
Naomba umpe tough love na usiwezeshe uteja huu.
Kama nilivyosema mwanzo, angekuwa naomba kwa vitu vya msingi tungemuelewa.Lakini si kwa anasa, anasa inayoingizia taifa hasara.
Kiranga please unafika mbali sana brother tunaomba amani iendelee kuwepo .....
Hivi mbona mko sensitive hivyo nyinyi? Yaani hamuwezi kabisa passionate debate. Siku mkija kuwasikiliza akina Rush na Carville si ndio mtazimia kabisa...toughen up!
Kiranga please unafika mbali sana brother tunaomba amani iendelee kuwepo .....
FL unakuwa too sensitive na wewe! kwani si mwenyewe anajijua kuwa si teja!?
Kuomba is a bad habit hata kwa vitu vya maana. Mtu ukiwa na shida ya lazima basi unatakiwa uombe watu wako wa karibu kwanza na shida yako itakapokuwa haijatatuliwa tu ndio uombe watu wa nje. na Uoambaji kwa watu wa nje usiwe easy kihivyo..............lazima watu wa feel kuwa huyu amelazimika hapa ameishiwa na options
hahaha na wewe Nyani Ngabu wewe nani azimie tunawaza maisha bwana tunawaza kutafuta mihela fainali uzeeni kiranga ndo amekasirika
Ombi:Natamani ungekuwa kwenye Jopo unasaidia kuwakemea mafisadi ingesaidia sana
hahaha na wewe Nyani Ngabu wewe nani azimie tunawaza maisha bwana tunawaza kutafuta mihela fainali uzeeni kiranga ndo amekasirika
Ombi:Natamani ungekuwa kwenye Jopo unasaidia kuwakemea mafisadi ingesaidia sana
Ok ok Gaijin nyc day to u ngoja nikapalilie kidogo bustani za mboga mboga
Ndg yangu Kiranga na dada yangu Charity, nimefurahishwa na jinsi mnavyo debate-nina imani hii debate huenda hata baada ya ya mechi kuisha ikaendelea.
Kwa faida yangu tu naomba kama inawezekana tu kuniambia proffesion zenu kwa neno moja tu e.g Engineer,biz man/woman,mwalimu,mkulima etc.
Hii mada,sijawahi kuona mada hot kama hii !Nimejifunza mengi,sikujua kuwa mtu unaweza kuzungumza nae mpaka ikafikia kama unamuona live!
Du umenikumbushia Nyezi mwanangu, wewe ndo ulikuwa nani~Dues, Mdosi Mzalendo, Curties au nani vile. Gone are the good old days!.Mbona nipo sana na tena sana tu. Na baadhi yao nshawazaba na vibao...tatizo wewe ni mgeni hapa. Umekuja mwaka jana wakati wenzio tuko tokea 2006 na hata kurudi nyuma tokea Nyenzi, bcstimes.com, YA, n.k.
Watu maveterani bana
Du umenikumbushia Nyezi mwanangu, wewe ndo ulikuwa nani~Dues, Mdosi Mzalendo, Curties au nani vile. Gone are the good old days!.
1.This is my chance ndio maana ningefurahi sana kama angalau ningekaa kwenye jukwaa la laki mbili,huko Kamera ya CNN,SKAI NEWS na BBC inaweza kunipitia(sore ofutopiki).
2.Mie sina chochote ndugu yangu ndio maana nikaona niombe mchango,wahenga walisema mficha nanihii hazai.
3.Sijawahi kuingia uwanja huo wa taifa ndio maana nimeomba msaada huu niweke historia achilia mbali kuona mechi za kimataifa(labda kwenye luninga)
4.Nia yangu ni kuona mpira hivyo nikipata free pass nitashukuru pia.(ila hela ya maji ya kunywa uwanjani nayo ni muhimu)
Nadhani nimejibu vema tall.
JAMANI MWENYE UWEZO AMCHANGIE TU MAANA HIO MECHI NI HISTORIA KWELI IDONT THINK KWA MIAKA YA KARIBUNI TUTAWEZA SHUHUDIA MPAMBANO KAMA HUO....:hug: