Harambee Stars(Kenya) wapo Ufaransa , The Cranes(Uganda) wapo Abu Dhabi, Les Léopards(DRC) wapo Hispania. Je, Taifa Stars(Tanzania) wapo wapi?

Zinapopangwa mechi zote muda mmoja haijalishi nani ana umuhimu gani akishinda au kufungwa,naona umeandika Insha tu bila kuniambia hayo niliyokuolozeshea yalitokea lini,Kuna sababu yeyote ya msingi kwa nini mpaka zinabaki mechi sita Azam na Yanga hawajacheza hata mechi moja?
 
Hapana bwana,labda wanaona hawatatoboa hata wakijiandaa.Ila donner kantri tunashindwa fanya maandalizi kwa team yetu kweli ?
Tunajiandaa mbona! Kuna mtaalamu mzuri (mganga) anatutengeneza kwanza.
 
Naona umekremisha tu kuwa mechi za mwisho lazima zichezwe muda mmoja...sema sasa effect ya mtigwa na simba kutangulia kucheza mechi saa tisa imeziathiri vipi timu zilizocheza mechi saa kumi???nimekwambia logic ya mechi za mwisho kucheza muda mmoja ni kuepuka upangaji wa matokeo...or wewe labda unajua logic nyingine zaidi ya hii niambie...azam na yanga kubakiza mechi sita bila kucheza mechi hata moja ni mwingiliano wa ratiba ndo ulisababisha mechi ya round ya kwanza isichezwe
 
Huna hoja kama Fed ilishatangaza mechi zote kuchezwa muda mmoja haijalishi ni faida au hasara gani inapatikana kwa team;Kwani Team za EPL au La liga zilizocheza muda mmoja zote zilikua zima faida?na mbona umekomaa na hoja moja tu nyingine umepotezea? Na leo umeona wageni rasmi wa Azam Cup wamevaa nguo za CCM?
 
Ulaya kila mechi inafaida na kila nafasi inapesa yake..hata timu inayoshuka daraja kule kuna pesa inapewa ndo mana mechi za mwisho zinachezwa muda mmoja unless kuwe na exception...mechi ya simba na mtigwa ilikuwa ni mechi ya simba kukabidhiwa ubingwa so lazima ianze mapema...ulitake ianze saa kumi alafu ubingwa wakabidhiwe usiku...logic ya wewe kutaka mechi zichezwe muda mmoja ni ipi...mbona hata huko ulaya kuna timu zinatofautianaga muda wa kucheza mechi za mwisho pale kunapokuwa na exceptions ili mradi tu matokeo ya iyo mechi hayawezi kuziathiri timu nyingine...wewe kwakuwa ume kremu tu ni mechi za mwisho unataka zichezwe muda mmoja ukiulizwa kwanini huna sababu...kongo huko kuna timu zimemaliza ligi na kunatimu zimebakisha mechi tatu but kila siku zahera anawadanganya tu kuwa hajawahi ona maajabu kwenye mpira kama ligi ya tanzania anasahau maajabu ya kwao
 
Jibu hoja zingine nilizotoa za udhaifu wa TFF mbona unahoroja tu kwani aliyesema mechi zitachezwa muda mmoja kabla ni mimi?
 
Jibu hoja zingine nilizotoa za udhaifu wa TFF mbona unahoroja tu kwani aliyesema mechi zitachezwa muda mmoja kabla ni mimi?
Kumbe unajua hukusema wewe kuwa zitachezwa muda mmoja....sasa wakicheza muda tofauti kwanini uteseke??alafu hoja gani hizo...hoja za zahera aliyewachukua mashabiki wa yanga wawe misukule yake??
 
Tunajijua uwezo wetu... kule tunaenda kukamilisha ratiba tu, ambae hajui ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…