Ndo mana nakwambia kwanini sikuzote hujawahi toa haya malalamiko ila baada ya timu yako kukosa ubingwa ndo umeanza kutoa kasoro....hizi changamoto kwa soka la africa ni kitu cha kawaida...jana kuna timu tena fainali ya kombe la africa Waydad inafunga goli zuri tu refa anakataa wachezaji wanamwambia refa akacheki marudio kwenye VAR wanaenda kucheki VAR hazifanyi kazi...wamesubiri lisaa limoja haziwaki wachezaji wa waydad wakagoma kurudi uwanjani refa akaamua kumaliza mpira ESP wakapewa ubingwa wa mezani...sasa ingekuwa ni yanga kafanyiwa hivyo mbona humu pasingekalika...mtu kama analalamika mechi ya mwisho ya Mtigwa na Simba kuanza saa 9 wakati wengine wameanza saa 10 mtu kama huyo sijui tumweke kundi gani....hajui kuwa mechi za mwisho huwa zinachezwa muda mmoja kuepusha kupanga matokeo....matokeo ya mtigwa na simba ya aina yoyote yalikuwa hayana athari kwa timu nyingine na ile ilikuwa ni kuwahi kwa sababu kulikuwa na sherehe za kukabidhi kombe...tatizo mnadanganywa sana na Zahera...sasa shangaa ya mechi za mwisho ligi kuu tanzania simba kucheza saa 9 wakati timu nyingine zinaanza kucheza saa kumi na kuna watu mnalalamika...Zahera kule kwao Congo ligi imeisha na timu karibia zote zimemaliza michezo but kuna timu bado zina mechi tatu mkononi wakati nyingine zimemaliza mechi