Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo hapa mimi mwenyewe ndiyo siyo mzalendo.
Bora hata ulikosa nafasi ya kwenda AFCON
😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Na nakuhakikishia ungeniona Leo pale maana ningekimbia kwenda kumkumbatia samatta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimechoka kuunga juhudi kwa kazima kwenye maisha halisi na huku mtandaoni pia.

Haujui tuu ni kiasi gani leo tulivyoungishwa juhudi kwa kazima na jezi nimenunua[emoji17][emoji17][emoji17]
Duh! Really?? Tell me more please na wala usinione mzalendo saaaaaaaaana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…