Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Umefungua Uzi ukajificha.
Harambee stars nilikuwa MWENYEWE hapa nimepambana wewe unakuja baada ya ushindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo na Mimi unanichukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hapana ila nachukia wakenya ila wewe ni mnafiki wa wakenya na sio mkenya
 
Msianze kiburi, tumewaachia kwa kuwa tulikuwa na mchawi nyumbani tunataka tumkamate ugoni
Ndiyo ukweli huo.
Tunaipenda Timu yetu lakini kitendo cha kubatizwa jina la Ccm ndiyo imetuumiza. I hope amejifuza next time hatorudia tena.

Yaani Mimi niombee ccm Mimi? Hapo bashite ndipo alipoharibu.
 
Umefungua Uzi ukajificha.
Harambee stars nilikuwa MWENYEWE hapa nimepambana wewe unakuja baada ya ushindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahahahhaahahah

Because you are the hero
 
Hahahhahahhaa unamkumbuka yule mdoli aliyekula apple lako kipindi kile? Bado yupo macho hajalala[emoji23][emoji23]
😭😭😭😭😭😭😭😭

Usitake kulila ukamsingizia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…