Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Write your reply... Jamani nimimi tuu naona kenya wanavyobakwa au!? au macho yangu mabovu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi unajua kama Sisi tuna mkono mrefu???
Eeh mna mkono mrefu.
Hamshindwi kuwa mmechezesha "mabaunsa" nasikia sura ya msuva mwili wa baunsa
 
Back
Top Bottom