Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hili game tukishinda
Kesho wataweka holiday
Wakubwa wa hii nchi nawajua vizuri sana [emoji28]
Kesho wataweka holiday
Wakubwa wa hii nchi nawajua vizuri sana [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namwona wapi[emoji23][emoji23][emoji23]sijalipia king'amuzi.
Nipo napiga porojo tuu hapa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo hapa mimi mwenyewe ndiyo siyo mzalendo.Safiiiiii, huu ushangiliaji ni wa kizalendo haswa
Roho inaniuma dear. Yaani hadi nahisi njaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe sio wa kutufanyia hivii
Technically, insulting players because the team lost against Senegal was very much unfair. Tusiseme sanaLeo tunacheza mpira mzuri mno kama sio sisi tuliocheza na senegal
Fanya hivyo jamani.Hamna namna kwa kweli
Hahaha hahaha hahahaRoho inaniuma dear. Yaani hadi nahisi njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
huyu bashite sijui kaenda kufanya fitna za soka.
ila mungu wangu tukienda 16 atavimba sana kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha hahaha hahaha
Uzalendo kwanza, maendeleo hayana chama
Wewe acha hizo
Kumbe we ndo umetuamsha
Tukishinda mechi ya Leohuyu bashite sijui kaenda kufanya fitna za soka.
ila mungu wangu tukienda 16 atavimba sana kichwa.
Macho yako mabovu. Nenda kalale [emoji23][emoji23][emoji23]Write your reply... Jamani nimimi tuu naona kenya wanavyobakwa au!? au macho yangu mabovu
Mimi mwanao ninaijuaHahaa wananhu ni under 7 hawajui jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa kweli maendeleo hayana chama🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha hahaha hahaha
Uzalendo kwanza, maendeleo hayana chama