Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Taifa Stars

wanadhalilisha twiga wetu walio ubavuni mwao

kweli nimeamini timu yangu ya taifa ni kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa basi kichwa kipo cha tanzania
 
FT
Kenya 3- UVCCM 2
Nahodha wa UVCcm ni Bashite.

Bashite ulitutukana mchana, sasa sijui utatuambia nini watanzania na mambo yako ya kuigawa nchi.
Yaani unasema stars ni Ccm.

I hope Karma saved you what you deserve. Haya kesho basi la SAA 12 urudi [emoji23][emoji23]sorry ndege.
 
Hao wachezaji watrot tu misri mpaka bongo

Sio mbali hata
 
Woyoooooo woyooooo, woyooooooo.
Kenya mmejua kumwaibisha bashiteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sijui atarudijeeee. Bashite akirudi anakuta Spika anamsubiria airport[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha

Walimsahau jecha airport
 
Mungu ni mwema tujipange kwa yajayo bahati haikuwa yetu, tujipe pole wa Tanzania na hongereni sana ndugu zetu Wakenya kwa kutoka Kifua mbele kwa 3-2

Usiku mwema Waungwana kitumbua kimeingia mchanga.
 
Back
Top Bottom