Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania.
Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu kama Seth, mfanyabiashara ambaye Bunge la wananchi limewahi kujadili kwa kina ufisadi wake kwa nchi hii. Mtu aliyeifisadi nchi hii miaka mingi sana. Tuliona hela za Escrow zikichotwa kwenye Sandarusi, sterling akiwa huyu Seth. Leo CCM ya Samia inamuweka huyu high table. Ndugu zangu, nyinyi Wabongo sasa hivi mnaonekana mbele ya hawa viongozi wa CCM kama Mazuzu, kwamba Mtawafanya nini.
Kama mnavyojua viongozi wa CCM ya sasa si tu kwamba haiheshimu katiba ya nchi, bali hawaheshimu hata katiba na kanuni za chama. Mmeona uteuzi ulivyofanyika kumpata mgombea wao wa Urais, ni Magumashi matupu.
Na leo unaona wenye fedha wanagongana vikumbo kumwaga mabilioni kwenye CCM. Hakuna free lunch, haya mabilioni yatarudishwaje?. CCM itawalipa nini hawa mabilionea kwa haya mabilioni wanayotoa?.
Leo huduma za afya, elimu zinazorota. Bima za afya kama NHIF kuna baadhi ya huduma siku hizi hupati lakini leo CCM inakumbatia wenye fedha. Je itawalipaje kwa haya mabilioni wanayotoa?
Nyie wananchi Tafakarini sana dharau hizi, ufedhuli huu, na matusi haya ya vipngozi wa CCM ya leo kwa wananchi.