Harambee ya CCM kilele cha kiburi na dharau kuu kwa Watanzania

Harambee ya CCM kilele cha kiburi na dharau kuu kwa Watanzania

Tone tone ilikuwa kilele cha nini? Na Lemma kaondoka na hela zote
Tone tone ni masikini kbs wanaonekana wanachanga bukubuku, harambee ya ccm jana mafisadi papa kibao wanachanga mamilioni...ccm itawalipa nn hao jamaa?!.
 
Hiyo harambee yao imesababisha nijione kama mtu nisiye na thamani yoyote ile kwenye hii nchi. Maana imeonesha wazi hilo ndilo kundi lenyewe la wahuni wanao itafuna hii nchi kwa miaka nenda sasa!

Na iwapo wananchi wataendelea kulala, maana yake tofauti ya matabaka nayo itazidi kushamiri kila siku. Yaani wahuni wanafanya harambee ya kukusanya fedha za kuja kuwahonga masikini fulana, kanga, vilemba, 5000, nk!! Huu upumbavu hauvumiliki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom