Nyerere na Magufuli ndo hawakuwahi kutaka demokrasia kabisa!Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni.
Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni.
Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.