Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Aug 13, 2025 #1 Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 Aug 13, 2025 #2 Hizo fedha ni fedha chafu kwa shughuli chafu.
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,999 Reaction score 33,523 Aug 13, 2025 #3 Nyerere labda ila Magufuli ni wale wale tu angeweza kufanya hivyo tu na yeye
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,554 Aug 13, 2025 #4 INEC watafute vijana wajuzi wa kutengeneza data za matokeo kura vituoni, wasije wakaaibaka.
N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 5,450 Reaction score 4,774 Aug 13, 2025 #5 Idugunde said: Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya. Click to expand... Nyerere na Magufuli ndo hawakuwahi kutaka demokrasia kabisa!
Idugunde said: Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya. Click to expand... Nyerere na Magufuli ndo hawakuwahi kutaka demokrasia kabisa!
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Aug 13, 2025 #6 Wahuni wapo mzigoni mkuu!