Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Mkuu haramu wa serikali ameonesha NIA, DHAMIRA na SABABU za kuitumia serikali kupambana na raia.
UWEZO anaoutumia ni kodi za hao hao anaopambana nao. Kibaya zaidi ni kwamba anasaidiwa na raia waliopikwa na kuhitimu nafasi ya UZOMBI yaani watu wanaopokea amri na kuzitekeleza bila second thoughts na bila reasonable thinking.
Hali hii haipaswi kwenda hivi. Lakini kwa sababu WALINZI WA KATIBA wanaona ni sawa na haki kabisa hata nusu ya Watanzania wakiteketezwa ili kulinda kiti kinachotoa amri hizo.
Watanzania.
Tuanze kuahughulika na mizizi, tukiikata nina hakika shina litakosa pa kushikilia na litaenda na mafuriko
Tanganyika nakupenda kwa moyo wote