Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
- Thread starter
-
- #21
Namuomba kila siku ,namwamini hataniangushaMungu akuvushe hapo katika jina la Yesu Kristo
Generally tu maisha ni magumu ,kila kitu hakiendiTatizo nn?
Me huwa najiuliza wanaJF wengine wanafanikiwaje, maana wengi wao nasikia wana magari, nyumba kali, demu mkali, na wapo diaspora. wanasumbuliwa na mapenzi tu 🙂Aisee mkuu ni hatari,mtaa umenuna
Kila unachogusa ndio unaharibu zaidi
Maisha ni magumu mno
Sina hata familia asee (wife na watoto) mtegemezi wangu ni mama tuKiongozi una familia🙌
anhaa upo mfungo sioKwa mimi hata kesho sidhani labda mpaka jumapili huenda.........
Nimekuelewa sana mkuu,bless up,Na Unajiita mchumba chumvi sa sikia mkuu kuna watu humu. Wana mabusha na makubwa na wanafuraha, kuna mtu kama mzabzab ana HIV + ana kibamia(nimenukuu yeye mwenyewe alisema) 🤣
Kuna sisi majobless tuna degree lakini tunaomba tenda za kufyeka, kutembeza mayai, na hatujakata tamaa Intelligent businessman
"Ebu jipe moyo utayashinda" nyakati ngumu hazidumu, 🙏
Mfungo wapi kaka wakati hali ngumu.anhaa upo mfungo sio
Asante mkuuLife's tough mkuu,
Hakuna namna nzuri ya kuelezea ila kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto. Iwe uchumi, mahusiano na mapenzi, afya, imani...hakuna aliyeko salama. Tunakuwa tu na vipindi vifupi vya ahueni, ila kila mtu kwa namna yake anapambana.
So, just calm down na tafuta njia nzuri ya kutatua changamoto yako, ikiisha hiyo amini nakuambia itakuja nyingine. Ndivyo tunavyoishi hadi siku ya kufa.
Njoo kwangu ule nimepikaMimi sijala leo
Ujobless pro max umepitiliza inabidiMfungo wapi kaka wakati hali ngumu.
Tafuta familia ,akili ndio itachaji vizuri🙌Sina hata familia asee (wife na watoto) mtegemezi wangu ni mama tu
Hali ni tete,nipe mbinu nipo tayari kusacrifice maadhi ya mambo
The game of life is brutal but still fairHonestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
The game is unfair,the game is rigged mkuuThe game of life is brutal but still fair
wee kweli tuje wawili 😎Njoo kwangu ule nimepika
Mimi nilishakaa nikapiga mahesabu nikajua kwenye hilo gemu nilishakosea hatua kubwa sana na uwezekano wa kutoboa ni mdogo sana nachofanya ni kupunguza mateso tuThe game is unfair,the game is rigged mkuu
Uje na pilipili basiwee kweli tuje wawili 😎
Ulifanyeje mkuu? Unakubaliana vipi na hali pale mambo yanakua meusi kabisa.Mimi nilishakaa nikapiga mahesabu nikajua kwenye hilo gemu nilishakosea hatua kubwa sana na uwezekano wa kutoboa ni mdogo sana nachofanya ni kupunguza mateso tu
Nakuja chapUje na pilipili basi
Sijui mwenzetu anaishi wapi🤣🤣Kwani wewe unaishi wapi?
Sisi humu wa JF tunaishi Oysterbay, Masaki, na wengine wako Ulaya na US.......