Hardest moment to be alive!

Hardest moment to be alive!

Na Unajiita mchumba chumvi sa sikia mkuu kuna watu humu. Wana mabusha na makubwa na wanafuraha, kuna mtu kama mzabzab ana HIV + ana kibamia(nimenukuu yeye mwenyewe alisema) 🤣

Kuna sisi majobless tuna degree lakini tunaomba tenda za kufyeka, kutembeza mayai, na hatujakata tamaa Intelligent businessman

"Ebu jipe moyo utayashinda" nyakati ngumu hazidumu, 🙏
Nimekuelewa sana mkuu,bless up,
 
Life's tough mkuu,
Hakuna namna nzuri ya kuelezea ila kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto. Iwe uchumi, mahusiano na mapenzi, afya, imani...hakuna aliyeko salama. Tunakuwa tu na vipindi vifupi vya ahueni, ila kila mtu kwa namna yake anapambana.

So, just calm down na tafuta njia nzuri ya kutatua changamoto yako, ikiisha hiyo amini nakuambia itakuja nyingine. Ndivyo tunavyoishi hadi siku ya kufa.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom