Hardest moment to be alive!

Hapa nina madeni kichele, nimebaki na buku tatu tu.
Ila ndio hivyo life linasonga kibishi, ukihuzunika hubadilishi kitu, dunia haina huruma dogo.

Kama vipi njoo apa vingunguti kwa pera pera tusonge nguna, dagaa wa jero, kandoro ya 200, tupige na kisungura tumalize siku tungoje kesho.
 
Mkuu pole sana..Hiyo season nilishapitia japo siwezi kulinganisha na yako maana experience ni tofauti.Ila kumbuka kwamba magumu yanakuja na yanapita unasahau kabisa kama yalishatokea. Hold on mkuu ,pray,find a prayerful friend/person to pray with you or for your.
In the end God's plan is always bigger than our visions and when we learn to sit and leave our worries to him we are left wondering at his marvelous love towards mankind. Stay safe mkuu.Dont make rushed decisions based on the current situations. Stay still, God loves you, he cares for you,Always remember that.
 

Attachments

  • Screenshot_20250114-155813~2.png
    270.8 KB · Views: 1
sahihi kabisa mkuu ushauri wenye uzito wake
 
Jipe tu moyo na kusema HILI NALO LITAPITA. Muhimu onyesha watu upendo katikati ya maumivu yako. Maandiko yanasema, ufalme wa Mungu upo ndani yetu (Lk 17: 17-24). Ina maana Mungu yupo miongoni mwetu. Sali ukiwa unapambania hatma yako. Wala usimlaumu Mungu. Katika magumu hayohyo panaweza kuwa na hatima yako ukiitumia fursa ya uungu vyema
 
Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Ni kawaida mzee, muhimu apo ni kutuliza akili na kuyapanga hayo magumu na kuona uanze na lipi kulingana na mazingira yako. Tuliza oblangata.
 
Aisee mkuu ni hatari,mtaa umenuna
Kila unachogusa ndio unaharibu zaidi
Maisha ni magumu mno
Pesa napata Ila zinapita Kama status πŸ˜… deal nazo haziendi kabisa.. Asante afya ipo.. familia ipo..kazi zipo. Ila pesa hazikai kabisa.

Champions are Not those who NEVER LOSE

Champions are those who NEVER QUIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…