Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hapa nina madeni kichele, nimebaki na buku tatu tu.
Ila ndio hivyo life linasonga kibishi, ukihuzunika hubadilishi kitu, dunia haina huruma dogo.
Kama vipi njoo apa vingunguti kwa pera pera tusonge nguna, dagaa wa jero, kandoro ya 200, tupige na kisungura tumalize siku tungoje kesho.