Hardest moment to be alive!

Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Mkuu pambana maisha hayana excuse bahati mbaya sana kama ni mwanaume, unatakiwa kusimama kwa miguu yako, wenzetu huwa option zote zikigoma anaweza kujilengesha kwa mshkaji akasaidiwa maisha. Pambana usichague kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…