Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Mtu kaombwa kitambulisho tu katoa pisto angeombwa cheti huyo walahi angelipua bomu
 
Naombeni namba za hamorapa jamani ninashida nae
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haka kajamaa kanajua sana wapi upepo unavumia... Ila kiboko wa mabishooh Muoga hatareee....Hahahahahahaahhhh....
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Naombeni namba za hamorapa jamani ninashida nae
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hamorapaaaa
umethibitisha kuna namna nyingi za kutokea
yan accidentally imemkuta tu ile scene
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Watanzania mwambieni mdogo wenu Hamorapa hawezi kukimbia akaishinda risasi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kusema kweli Nape nae kamuonyesha jamaa dharau mbaya sana.huyo jamaa mzuka kweli ulimpanda na angeweza kumuwasha kweli ingawa hakutumwa kufanya hivyo.
Pia kuna somo katika hiyo clip. Watu wengi waliokuwepo pale hawaonekani kutishika kwa kutolewa silaha hiyo. Niliwahi kuwaambia watu kuwa, usiombe kuwaongoza watu waliojizira (waliokata tamaa) mwisho wake huwa mbaya sana.

Kama mamlaka husika hawataitafakari video hiyo na kujifunza kitu, basi tutaianza Tanzania iliyotajwa tajwa.

MUNGU HAWEZI KUTUPATIA AMANI WAKATI TUNAMUOMBA HUKU TUMESHIKA MAPANGA.
 
Sijaelewa pia Kitenge anamaanisha nini kumwambia jamaa utaharibu mambo sasa"
Nape ndiye aliyeanza kuwaambia hao "wanafunzi wa CCP walioko kwenye mafunzo kwa vitendo" kuwa wanaharibu. Picha niliyoipata ni kuwa wanaharibu taswira ya chama ambacho alihangaika kuisafisha.
 
Sijaelewa pia Kitenge anamaanisha nini kumwambia jamaa utaharibu mambo sasa"
Jamaa alichosema kiko wazi kwamba angesababisha mambo makubwa pengine ambayo hata hayakuitajika kwa pale ukizingatia kamera zote zilikuwepo pale na ni kama busara kumsaidia askari kanzu si kwamba ni kitengo.Kitenge ni mjumbe wa kuwezesha Serengeti boys pia ni mshikaji na Nape ndo maaana alinunua ugomvi.
 
[emoji23][emoji23] nchi inakoenda sijui ila nawatakia asubuhi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…