ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hako kasanii kamenichekesha sana kwenye hii sakata walahi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kitendawili hicho! Aliye karibu nawe ndiyeSijaelewa pia Kitenge anamaanisha nini kumwambia jamaa utaharibu mambo sasa"
Sasa wewe ndo umenichekesha kuliko hata Le Super Star Harmorapa,eti atakalia nini?Hahaha Kiki zitamuua huyu dogo
Atapigwa risasi ya tako awe anakalia kichwa
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?
Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?
Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.
Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?
Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.
Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...
Mungu Haendi Likizo.
hamorapaaaa
umethibitisha kuna namna nyingi za kutokea
yan accidentally imemkuta tu ile scene
Umemwona aliko toka kaja mbio balaa na kaondoka mbio anabalaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hamorapaaaa
umethibitisha kuna namna nyingi za kutokea
yan accidentally imemkuta tu ile scene
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85] [emoji85]😀😀😀Watanzania mwambieni mdogo wenu Hamorapa hawezi kukimbia akaishinda risasi.
Pia kuna somo katika hiyo clip. Watu wengi waliokuwepo pale hawaonekani kutishika kwa kutolewa silaha hiyo. Niliwahi kuwaambia watu kuwa, usiombe kuwaongoza watu waliojizira (waliokata tamaa) mwisho wake huwa mbaya sana.Kusema kweli Nape nae kamuonyesha jamaa dharau mbaya sana.huyo jamaa mzuka kweli ulimpanda na angeweza kumuwasha kweli ingawa hakutumwa kufanya hivyo.
Nape ndiye aliyeanza kuwaambia hao "wanafunzi wa CCP walioko kwenye mafunzo kwa vitendo" kuwa wanaharibu. Picha niliyoipata ni kuwa wanaharibu taswira ya chama ambacho alihangaika kuisafisha.Sijaelewa pia Kitenge anamaanisha nini kumwambia jamaa utaharibu mambo sasa"
Jamaa alichosema kiko wazi kwamba angesababisha mambo makubwa pengine ambayo hata hayakuitajika kwa pale ukizingatia kamera zote zilikuwepo pale na ni kama busara kumsaidia askari kanzu si kwamba ni kitengo.Kitenge ni mjumbe wa kuwezesha Serengeti boys pia ni mshikaji na Nape ndo maaana alinunua ugomvi.Sijaelewa pia Kitenge anamaanisha nini kumwambia jamaa utaharibu mambo sasa"