Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Amfungulie kesi ya kutishia kuua kwa bastola
 
Hahahaha hilarious walahi! Maisha matamu!
 
Habari Wadau..

Tafadhari, Nimeiona video ambayo Nape Ametolewa bastola na mtu ambaye tumeambiwa ni Afisa wa Usalama Wa Taifa..

Ki ukweli kwa jinsi Nape alivyokipigania Chama Cha Mapinduzi si kwa Amri au kwa kuamua mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya vile mbele ya vyombo vya habari.

Cha kusikitisha katumia nguvu mno na kujigeuza kichaa kabisa..

Naamini CCM haimdai Nape ila nape anaidai CCM kwa alichoifanyia kipindi kile imepoteza Heshima..

Na hata wakati wa kampeni Nape aliwahi kutoa kauli isiyo ya kidemokrasia kwamba "ccm itashinda hata kwa bao la mkono"..

Kama Mwana CCM nina heshima kubwa mno kwa Nape..

NINAOMBA TUMTAMBUE TU HATA KWA JINA TU YULE ALIYEMDHALILISHA ICON WA CHAMA CHETU KWA KUMTOLEA BASTOLA NA KUMSUKUMA KAMA PUNDA..(KWA ANAYEMJUA)

Nasisitiza mtu yeyote ambaye anaipenda CCM na kutambua mchango wa Nape Ndani ya CCM na hata uchaguzi wa 2015 hajafurahishwa na jambo hili.

NIMECHUKIZWA MNO KAMA MWANA CCM.

No comment. Russia, n. korea, china, rwanda, uganda, cuba now TZ??????
 
Hiyo askari lazima tumtafute mtaani tu.

Swissme
 
Habari Wadau..

Tafadhari, Nimeiona video ambayo Nape Ametolewa bastola na mtu ambaye tumeambiwa ni Afisa wa Usalama Wa Taifa..

Ki ukweli kwa jinsi Nape alivyokipigania Chama Cha Mapinduzi si kwa Amri au kwa kuamua mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya vile mbele ya vyombo vya habari.

Cha kusikitisha katumia nguvu mno na kujigeuza kichaa kabisa..

Naamini CCM haimdai Nape ila nape anaidai CCM kwa alichoifanyia kipindi kile imepoteza Heshima..

Na hata wakati wa kampeni Nape aliwahi kutoa kauli isiyo ya kidemokrasia kwamba "ccm itashinda hata kwa bao la mkono"..

Kama Mwana CCM nina heshima kubwa mno kwa Nape..

NINAOMBA TUMTAMBUE TU HATA KWA JINA TU YULE ALIYEMDHALILISHA ICON WA CHAMA CHETU KWA KUMTOLEA BASTOLA NA KUMSUKUMA KAMA PUNDA..(KWA ANAYEMJUA)

Nasisitiza mtu yeyote ambaye anaipenda CCM na kutambua mchango wa Nape Ndani ya CCM na hata uchaguzi wa 2015 hajafurahishwa na jambo hili.

NIMECHUKIZWA MNO KAMA MWANA CCM.

Sasa huo mchango si ndio kazi aliyoajiriwa ,mtu unapoajiriwa na kufanya kazi ni kutekeleza majukumu ya kazi yako,kwani hiyo kazi alikuwa akiifanya bure?
 
Habari Wadau..

Tafadhari, Nimeiona video ambayo Nape Ametolewa bastola na mtu ambaye tumeambiwa ni Afisa wa Usalama Wa Taifa..

Ki ukweli kwa jinsi Nape alivyokipigania Chama Cha Mapinduzi si kwa Amri au kwa kuamua mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya vile mbele ya vyombo vya habari.

Cha kusikitisha katumia nguvu mno na kujigeuza kichaa kabisa..

Naamini CCM haimdai Nape ila nape anaidai CCM kwa alichoifanyia kipindi kile imepoteza Heshima..

Na hata wakati wa kampeni Nape aliwahi kutoa kauli isiyo ya kidemokrasia kwamba "ccm itashinda hata kwa bao la mkono"..

Kama Mwana CCM nina heshima kubwa mno kwa Nape..

NINAOMBA TUMTAMBUE TU HATA KWA JINA TU YULE ALIYEMDHALILISHA ICON WA CHAMA CHETU KWA KUMTOLEA BASTOLA NA KUMSUKUMA KAMA PUNDA..(KWA ANAYEMJUA)

Nasisitiza mtu yeyote ambaye anaipenda CCM na kutambua mchango wa Nape Ndani ya CCM na hata uchaguzi wa 2015 hajafurahishwa na jambo hili.

NIMECHUKIZWA MNO KAMA MWANA CCM.

Kwahy una nguv kmzidi rais alietoa amri ya yote?kuwn wazalendo wa nch hao wazee sindo walioigarib nch hii kwa rushwa kbwa tena haipingki au hilo hujui?
 
Unaweza ukamchukia au ukampenda lakin yeye anafanya anachoona sahihi
bdf467b4965984a9b3c2f1d4a3427b41.jpg

feb62c817119049f7dbf4eb02e151525.jpg
2b26caae1a447214778793c7e8ab4b41.jpg
 
Ngoja nisubr page ya dada mange atamsema tu
Let us wait
Hakuna haraka afrika
 
Mi naona hawa sio askari , askari na kama ni askari hawana weledi. Wameshindwa kutoa kitambulisho kujitambulisha kisha kueleza lengo lao
 
Movie tu hiyo.
fry to hell nimekufuatia wewe mwanadada ila sasa umevunja sana utu wako. Please be a bit quite hapa siyo movie unajua unaweza in future ukajuta haya yote uliyokuwa unapost. Hujui unamshabikia nani kama ni Bashite anaweza asiwe yeye kama ni Makonda anaweza asiwe yeye wewe unapokea tu at the end of the day????@?
 
Day harmorapa kweli kaniacha hoi

Ila kitenge ni shujaa sana, mpaka jamaa akaufyata na kabastola make

Hao askari wapumbavu wa aina hiyo ndio wanafanya nchi hii we hapa
 
mwanamuzi chipukizi wa mziki wa kizazi kipya,harmorapa,alikuwepo Leo mitaa ya protea hotel kumsindikiza kijana mwenzie wa kimakonde na mbunge wa mtama, nape nnauye.

hali ilibadilika ghafla pale nape nnauye alipo tolewa "mguu wa kuku" ili kumshinikiza arudi garini.ndipo harmorapa alipoonekana kukimbia ili kuokoa maisha yake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24]

tazara video
cae7ff67536215b5bc04792d11c1f104.jpg
 
Back
Top Bottom