jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Amenifurahisha Nape, hakuogopa hata hiyo bastola, kamtizama kwa dharau sana. Jamaa wa bastola anaonekana mshambamshamba hivi. Sijui alikuwa keshagonga vitu au basi tu low IQ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wadau..
Tafadhari, Nimeiona video ambayo Nape Ametolewa bastola na mtu ambaye tumeambiwa ni Afisa wa Usalama Wa Taifa..
Ki ukweli kwa jinsi Nape alivyokipigania Chama Cha Mapinduzi si kwa Amri au kwa kuamua mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya vile mbele ya vyombo vya habari.
Cha kusikitisha katumia nguvu mno na kujigeuza kichaa kabisa..
Naamini CCM haimdai Nape ila nape anaidai CCM kwa alichoifanyia kipindi kile imepoteza Heshima..
Na hata wakati wa kampeni Nape aliwahi kutoa kauli isiyo ya kidemokrasia kwamba "ccm itashinda hata kwa bao la mkono"..
Kama Mwana CCM nina heshima kubwa mno kwa Nape..
NINAOMBA TUMTAMBUE TU HATA KWA JINA TU YULE ALIYEMDHALILISHA ICON WA CHAMA CHETU KWA KUMTOLEA BASTOLA NA KUMSUKUMA KAMA PUNDA..(KWA ANAYEMJUA)
Nasisitiza mtu yeyote ambaye anaipenda CCM na kutambua mchango wa Nape Ndani ya CCM na hata uchaguzi wa 2015 hajafurahishwa na jambo hili.
NIMECHUKIZWA MNO KAMA MWANA CCM.
2020 atabaki na washambuliaji butu wasio na mbinu.HUYU MFALME **** SASA ANAPIGA HADI WASHAMBULIAJI WAKE ....

fry to hell nimekufuatia wewe mwanadada ila sasa umevunja sana utu wako. Please be a bit quite hapa siyo movie unajua unaweza in future ukajuta haya yote uliyokuwa unapost. Hujui unamshabikia nani kama ni Bashite anaweza asiwe yeye kama ni Makonda anaweza asiwe yeye wewe unapokea tu at the end of the day????@?Movie tu hiyo.
naomba kumjua huyu mkuu aliyeepusha shari mwenye suti ya pink ,da anaujasili sana sanaUmechukizwa nini wakati ndiyo tabia yenu nyie ccm, mbona mumewakolimba watu wengi tu