Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Dah! Sawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?
Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?
Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.
Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?
Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.
Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...
Mungu Haendi Likizo.
Nape kiukweli alipigania sana chama ........alikuwa ndio front man ....,sijui Kinana huko aliko atakuwa anajisikiaje kwakuwa ndio watu wawili waliobaki mstuni kupigania chama .....SAWA magufuli hamtaki maana hata uwaziri aliwapa kwa shingo upande ...lakini sio kumfukuza kwa namna hiyo2020 atabaki na washambuliaji butu wasio na mbinu.
Ataishia kubadili katiba impe mamlaka kamili.
Nasikia dogo alinyoosha mwendo uleule hadi kituo cha daladala.Huyu jamaa leo kupunguza stress za watu juu ya Nape
dala dala tena?Nasikia dogo alinyoosha mwendo uleule hadi kituo cha daladala.
Tena za kwenda Mbagala.dala dala tena?
Jinsi alivyotoa hiyo bastola inaonesha ni jinsi gani asivyo na maamuzi yenye akili, huwezi kuwa mtumizi wa mkono wa kushoto ukaweka bastola mkono huo huo.Bastola yenyewe aliiweka mkono wa kushoto wakati yeye anatumia mkono wa kulia, huyu tiss hana uzoefu wa kutumia bastola, kwanza anaitoa bastola kishamba kabisa