Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Hivi ni kweli mnashindwa kutofautisha kati ya L na R au hua mnafanya kusudi? Yaani mpaka nikisoma nahisi kichefu chefu
Siku zote aulizaye kwa mbwembwe hujibiwa kama alivyouliza. Mleta mada katumia 'R' na mimi nimetumia R vivyo hivyo. Sio kwamba sijui kuandika hizo L
 
Yeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Jamaa anazali sana yaani katika kiki zote alizopata hii aishukuru sana maana kwa sasa watu wengi wamemjua zaid so ajitahd kutoa kaz nzr ili afike mbal bt katisha harmobolt
 
Siku zote aulizaye kwa mbwembwe hujibiwa kama alivyouliza. Mleta mada katumia 'R' na mimi nimetumia R vivyo hivyo. Sio kwamba sijui kuandika hizo L
Hawa hawaelewi kuwa ilikua Ni sarcastically intended to put R instead of L don't debate them it kills the fun
 
Siraha hatari mno. Ikiria hapo utatamani urare tu chini warau ripite
 
Hivi Hamorapa arifuata nini kwenye rire tokeo?
 
Back
Top Bottom