Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii anayeibukia kwa kasi akiwa na mbunge wa Mbeya Mjini walitinga ofisi za Cloud s Media kuwapa pole kwa walichofanyiwa na Makonda
waandishi wa habri walionekana kumzonga super star huyo mara baada ya kushuka kwenye gari na kumpa wakati mgumu
waandishi wa habri walionekana kumzonga super star huyo mara baada ya kushuka kwenye gari na kumpa wakati mgumu