Harmo rapa, Sugu waenda Clouds kuwapa pole kwa kuvamiwa

Harmo rapa, Sugu waenda Clouds kuwapa pole kwa kuvamiwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii anayeibukia kwa kasi akiwa na mbunge wa Mbeya Mjini walitinga ofisi za Cloud s Media kuwapa pole kwa walichofanyiwa na Makonda
waandishi wa habri walionekana kumzonga super star huyo mara baada ya kushuka kwenye gari na kumpa wakati mgumu
 
Back
Top Bottom