Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Ni kitendo cha kiungwana.Hata mkurugenzi wa EFM ametoa pole kwa Clouds
Mbishihahahahahahahaha daaah huyu Harmo Rapa atakuja kutoboa tu aiseee..
Napenda spirit yake... Wakati mwingine ustaa hauji tu inatakiwa uutafute..Mbishi
Plus Majizo kutajwa Clouds ni jambo la heri sana.Nimeamini,, kumbe adui yako anaweza kuwa rafiki yako and vice versa is true.
Sugu wa Anti Virus volume 1,2 leo kaonyesha mfano.
Hahaha [emoji3] hata bradha Ngabu unamkubali kumbe HamorapaHarmorapa anajua sana kukamata fursa.
Nampenda sana huyu dogo.
Hata mh lowasa sa ivi ni Chadema live, wakati tuliambiwa popote tutakapo muona tumzomee.Nimeamini,, kumbe adui yako anaweza kuwa rafiki yako and vice versa is true.
Sugu wa Anti Virus volume 1,2 leo kaonyesha mfano.