Harmo Rapper aopoa demu mkaleee...

Ingekua ukiwa na pesa unapendeza. WasirA na ex waziri mkuu wangejua mahendisamu
 
kimchiz naona kiko na bodyguard kabisa, hatari sana
 
Jamaa alihojiwa Eatv, akaulizwa kimuziki unajiweka katika level ipi? Akajibu yuko level za kina fidq.. !!

Nilipaliwa bia
Hahahahaaaa kwa hyo nayo anajiona kwenye rap ni conscious, hii dunia bora kutozaliwa kabisa coz tunashuhudia mambo ya kushangaza sana
 
Hahahahahaaaaa hii thread ni noma.
I love JF
 
watanzania tuna matatizo sana hivi Harmo Rappa kafanya kosa gani hadi anatukanwa kiasi hiki duuuu
Hivi ni kweli sote kwenye familia zetu...twaonekana wazuri kwa watu wote....
Harmo Rappa usivunjike Moyo ,usiteteleke,shikilia hapo hapo ......hahahah
 
hahahaha Mimi nimekuwa mshabiki kabisa wa Harmo Rappa.
Hivi unajua ana mpango wa kuwa na mlinzi binafsi anasema kwaajili ya usalama wake na baby wake....? hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ajabu na ni aibu wanaume kujadili kama eti mwanaume mwenzao ni mzuri ama vip!Haya ninyi wazuri mnataka mfanywe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…