Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha fikra finyu.kwani huyo unayemwita was mjini hakuanzia pori?.au mtwara ni jijini?Dah Harmonize sijui anajisikiaje kufananishwa na huyo mporipori [emoji23]
Mkuu utatuua wenzako kwa kichekomimi thijifananishi na harmonaidhi ila nikipita mtaani watu wananita "wewe hamonaidhi unaringa thana"
Hahahahaaaa kwa hyo nayo anajiona kwenye rap ni conscious, hii dunia bora kutozaliwa kabisa coz tunashuhudia mambo ya kushangaza sanaJamaa alihojiwa Eatv, akaulizwa kimuziki unajiweka katika level ipi? Akajibu yuko level za kina fidq.. !!
Nilipaliwa bia
Mchambuzi ni ajePia huyo jamaa anayewahoji na yeye ni Idriss Sultan Rapa.
Hahahaha.. Jf huwezi kununa!meno yake ni infinity yameenda mpaka tumbon
watanzania tuna matatizo sana hivi Harmo Rappa kafanya kosa gani hadi anatukanwa kiasi hiki duuuu
hahahaha Mimi nimekuwa mshabiki kabisa wa Harmo Rappa.Hahahahahaaaaa hii thread ni noma.
I love JF
Acha dharau mkuu mporipori?,Dah Harmonize sijui anajisikiaje kufananishwa na huyo mporipori [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha Mimi nimekuwa mshabiki kabisa wa Harmo Rappa.
Hivi unajua ana mpango wa kuwa na mlinzi binafsi anasema kwaajili ya usalama wake na baby wake....? hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah Harmonize sijui anajisikiaje kufananishwa na huyo mporipori [emoji23]