Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 787
[emoji23] [emoji23]watanzania tuna matatizo sana hivi Harmo Rappa kafanya kosa gani hadi anatukanwa kiasi hiki duuuu
Hivi ni kweli sote kwenye familia zetu...twaonekana wazuri kwa watu wote....
Harmo Rappa usivunjike Moyo ,usiteteleke,shikilia hapo hapo ......hahahah