Harmo Rapper aopoa demu mkaleee...

Harmo Rapper aopoa demu mkaleee...

watanzania tuna matatizo sana hivi Harmo Rappa kafanya kosa gani hadi anatukanwa kiasi hiki duuuu
Hivi ni kweli sote kwenye familia zetu...twaonekana wazuri kwa watu wote....
Harmo Rappa usivunjike Moyo ,usiteteleke,shikilia hapo hapo ......hahahah
[emoji23] [emoji23]
 
6dd2cb30616be9ee7a98bf15ceef0c92.jpg
 
Msanii Harmo Rapper, kwa ambao hawamjui ni jamaa aliyejitengenezea umaarufu kwa kufanana na Harmonize, kisha akawa ana rap, so yeye ni hrmonize anaye rap henze =Harmo Rapper

Kiukweli Mungu ndie ajuaye,,,hakuna mtu aliyetamani kua kama alivyo
 
Back
Top Bottom