alquin maxmillian madoro
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 374
- 251
Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....
Duuuuu, wataalam wanasema jiamini kwa ulicho nacho lakini usijiamini kupita kiasi, harmo rapper ...... Komaaa bro usije jikuta mambo yanakuwa vice versa aseee