Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....

Duuuuu, wataalam wanasema jiamini kwa ulicho nacho lakini usijiamini kupita kiasi, harmo rapper ...... Komaaa bro usije jikuta mambo yanakuwa vice versa aseee
 
Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....

Huyu ukute kichaa.....halafu vyombo vya habari vinampa promo chizi sasa sijui ndio ugumu wa maisha au
 
Ni haki yake kikatiba kusema ya moyoni.
 
Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....

Aiseee
 
Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sepenga hata ww ukitaka unaopoa
Walet yako tuu mkuu
Inaongea
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] akihijiwa

Otherwise Kick ndo
Hbr ya mjin kwa sasa
 
hahahaha huyu jamaa nimejikuta nakuwa mshabiki wake,jamaa ana jiamini sana na wala haogopi watu wanavyo sema kuhusu uso na alivyo....
Na kama hoja ya kutafuta kiki basi na yeye anayo haki ya kutafuta kiki kama wasanii wengine wanavyo zitafuta kwa nguvu.
Harmo Rappa usichoke mpaka malengo yako yatimie.

hahahaha eti levo za fid q....
Rutta hapa una point...ukiwa msanii mdogo ukajiunga na mwenye jina, unaua kipaji na utaendelea kumwinua mkubwa na kumnufaisha.. bora athubutu kupigana kiume
 
hahahaha huyu jamaa nimejikuta nakuwa mshabiki wake,jamaa ana jiamini sana na wala haogopi watu wanavyo sema kuhusu uso na alivyo....
Na kama hoja ya kutafuta kiki basi na yeye anayo haki ya kutafuta kiki kama wasanii wengine wanavyo zitafuta kwa nguvu.
Harmo Rappa usichoke mpaka malengo yako yatimie.

hahahaha eti levo za fid q....
Jamaa Yuko Vizuri, Anajiamini Balaa - Mimi Mwenyewe Namkubali. Hiyo Kule Kwetu Naija Tunaita " FAKE IT TILL YOU MAKE IT "
 
Back
Top Bottom