alquin maxmillian madoro
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 374
- 251
Duuuuu, wataalam wanasema jiamini kwa ulicho nacho lakini usijiamini kupita kiasi, harmo rapper ...... Komaaa bro usije jikuta mambo yanakuwa vice versa aseeeMsanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....
Beautiful women fall in love with bad looking men...true or false...
Duuuuu, wataalam wanasema jiamini kwa ulicho nacho lakini usijiamini kupita kiasi, harmo rapper ...... Komaaa bro usije jikuta mambo yanakuwa vice versa aseee
Ngoja akomae I hope atatoka kama management inaeleweka ila kama management mbovu basi na yeye tutamsoma kwenye historia za wasanii bongo ,kwamba na yeye alikuwepohahahaha jamaa amaona akomae kabisa kabisa
namkubali sana anatafuta chakula kwa njia nzuri kuliko kua kibaka
Ngoja akomae I hope atatoka kama management inaeleweka ila kama management mbovu basi na yeye tutamsoma kwenye historia za wasanii bongo ,kwamba na yeye alikuwepo
Huyu ukute kichaa.....halafu vyombo vya habari vinampa promo chizi sasa sijui ndio ugumu wa maisha auMsanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....
AiseeeMsanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi kujiunga na Wasafi hata kwa dau kubwa kiasi gani....
Ha ha ha ha ha haHahaha jamaa anafurahisha ana wafeel wasafi mpaka kaamua walau ajiite harmo rapper ilimradi awe ka harmonize
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hana udugu na ndugu yetu katibu wa itikadi bwana Polepole?
Rutta hapa una point...ukiwa msanii mdogo ukajiunga na mwenye jina, unaua kipaji na utaendelea kumwinua mkubwa na kumnufaisha.. bora athubutu kupigana kiumehahahaha huyu jamaa nimejikuta nakuwa mshabiki wake,jamaa ana jiamini sana na wala haogopi watu wanavyo sema kuhusu uso na alivyo....
Na kama hoja ya kutafuta kiki basi na yeye anayo haki ya kutafuta kiki kama wasanii wengine wanavyo zitafuta kwa nguvu.
Harmo Rappa usichoke mpaka malengo yako yatimie.
hahahaha eti levo za fid q....
acha izo ww ujafa ujaumbika nyumbu ww...Yaani domo ka chimpanzee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
Jamaa Yuko Vizuri, Anajiamini Balaa - Mimi Mwenyewe Namkubali. Hiyo Kule Kwetu Naija Tunaita " FAKE IT TILL YOU MAKE IT "hahahaha huyu jamaa nimejikuta nakuwa mshabiki wake,jamaa ana jiamini sana na wala haogopi watu wanavyo sema kuhusu uso na alivyo....
Na kama hoja ya kutafuta kiki basi na yeye anayo haki ya kutafuta kiki kama wasanii wengine wanavyo zitafuta kwa nguvu.
Harmo Rappa usichoke mpaka malengo yako yatimie.
hahahaha eti levo za fid q....