Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

Huyu jamaa na alivyo hajui kuongea kwenye media , wana mjoke sana.
Hakuna aijuae kwesho ya mwenzie
Wamkejeli wasimkejeli kama Mungu kampangia atatoboa tu.
Kwani Diamond hakukejeliwa? Siwalikua wanamuita Domo? Sasa hivi hilo jina unalisikia?

Kujiamini ni silaha kubwa sana katika mapambano(uwanja wa medani)
 
Hata kama ila mond hakuwa kama huyu mpori mpori na ananiuzi sana kujifananisha na harmonize
 
huyu jamaa naona kama hafanani au ndiyo ugumu wa maisha
 
Hahahahaaa kuna watu wanapenda kulazimisha pilau dagaa
 
Level za fid q[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa!! Komaa
 
Hakuna aijuae kwesho ya mwenzie
Wamkejeli wasimkejeli kama Mungu kampangia atatoboa tu.
Kwani Diamond hakukejeliwa? Siwalikua wanamuita Domo? Sasa hivi hilo jina unalisikia?

Kujiamini ni silaha kubwa sana katika mapambano(uwanja wa medani)
Mimi naona jamaa inabidi ajipange maswali mengine anaulizwa akijibu mpaka unashangaa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Domooooooooooo Teeeeeengaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…