Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Kwa hilo la Wema sepetu hata Mimi nikiamua kuvunja kibubu nampataaa[emoji23] [emoji23]Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hilo la Wema sepetu hata Mimi nikiamua kuvunja kibubu nampataaa[emoji23] [emoji23]Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
Hakuna aijuae kwesho ya mwenzieHuyu jamaa na alivyo hajui kuongea kwenye media , wana mjoke sana.
Hata kama ila mond hakuwa kama huyu mpori mpori na ananiuzi sana kujifananisha na harmonizeHakuna aijuae kwesho ya mwenzie
Wamkejeli wasimkejeli kama Mungu kampangia atatoboa tu.
Kwani Diamond hakukejeliwa? Siwalikua wanamuita Domo? Sasa hivi hilo jina unalisikia?
Kujiamini ni silaha kubwa sana katika mapambano(uwanja wa medani)
Sasa harmonize ndio naniHata kama ila mond hakuwa kama huyu mpori mpori na ananiuzi sana kujifananisha na harmonize
Atoke yeye kama yeye cyo slopeSasa harmonize ndio nani
Watu wanafanana na Obama sembuse huyo mmakonde? Suala la kufanana ni jambo la kawaida
Kwa hiyo unashauri nini
Sasa slope gani?Atoke yeye kama yeye cyo slope
Namshangaa sana huyo jamaa....Sasa slope gani?
Sinikweli kafanana nae kwani uongo mkuu?
Ww ungefanana na Obama au celebrity yeyote ungekataa?
Slope gani hiyo? hawafanani?Atoke yeye kama yeye cyo slope
kwani hawafanani?Hata kama ila mond hakuwa kama huyu mpori mpori na ananiuzi sana kujifananisha na harmonize
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani kilichobaki ni kutoa ngoma kaliii kamshirikisha Lemutuz atakuwa ametoka mazima
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Harmorapa noma, sahivi anabadili totoz anavyotaka, soon utasikia kaopoa Wema Sepetu
Sasa huyo Harmonize nae ana ujanja gani? Si ni mpori pori kama wapori pori wengineHata kama ila mond hakuwa kama huyu mpori mpori na ananiuzi sana kujifananisha na harmonize
Mimi naona jamaa inabidi ajipange maswali mengine anaulizwa akijibu mpaka unashangaa.Hakuna aijuae kwesho ya mwenzie