Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

Anasema yeye ndio wa kwanza kujiita Harmo Rapa kwa hiyo Harmonize ame-copy jina lake.

Na yeye Harmo Rapa ajafanana na Harmonise ila Harmonise ndio kafanana na Harmo Rapa
 
Hakuna aijuae kwesho ya mwenzie
Wamkejeli wasimkejeli kama Mungu kampangia atatoboa tu.
Kwani Diamond hakukejeliwa? Siwalikua wanamuita Domo? Sasa hivi hilo jina unalisikia?

Kujiamini ni silaha kubwa sana katika mapambano(uwanja wa medani)
Kweli kabisa
 
Hivi kati ya Harmo na Diamond ni yupi Handsome?
 
Japokuwa sijawahi hata kusikia nyimbo yake nimeamua kuwa shabiki wa harmorapa japo shemeji yemu kaniambia ana uso mzito kama uji wa ulezi
 
huyu jamaaa ni nomino za msimu.
atapita very soon.
tushachoka kelele zake
 
Nimegundua yeye na meneja wake wanadanganyana wanavizia kutoka. Meneja Umekula hasara imebuma
 
Soon level za kina Juma Mchopanga

Komaa [HASHTAG]#HarmoRapa[/HASHTAG]
 
Napenda confidence yake.ajitahidi atafika anapopataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…