Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ndo nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHakuna aijuae kwesho ya mwenzie
Wamkejeli wasimkejeli kama Mungu kampangia atatoboa tu.
Kwani Diamond hakukejeliwa? Siwalikua wanamuita Domo? Sasa hivi hilo jina unalisikia?
Kujiamini ni silaha kubwa sana katika mapambano(uwanja wa medani)
Mshukuru Mungu alivokuumba lakn usikufuru kwa alivomuumba mwingineYaani domo ka chimpanzee
hahahahahahahaAnasema yeye ndio wa kwanza kujiita Harmo Rapa kwa hiyo Harmonize ame-copy jina lake.
Na yeye Harmo Rapa ajafanana na Harmonise ila Harmonise ndio kafanana na Harmo Rapa
Hawfanani hata kidogoSasa slope gani?
Sinikweli kafanana nae kwani uongo mkuu?
Ww ungefanana na Obama au celebrity yeyote ungekataa?
hahahaAiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana udugu na ndugu yetu katibu wa itikadi bwana Polepole?