Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

Kila la kheri endapo kweli lengo ni kusaidia wenye uhitaji.

Wasiwasi wangu ni Je, atakua na chakula cha kukidhi mahitaji? Inawezatokea tafrani watu wakachomoa betri tukapoteza gari na miundo mbinu yote.

Ogopa sana roho mbaya iliyochanganyikana na kukata tamaa, bora uwe tajiri wa roho utafurahia maisha popote.
 
Duniani hakuna cha Bure, hicho chakula cha konde boy Nina mashaka nacho, utakuta ukikila bure, unatolewa kafara, na watanzania Kwa kupenda vya bure, aisee konde boy atawatoa kafara wengii
 
It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa
I agree with you, Give a man a fish and you feed him for only a day; Teach him how to fish and you feed him for a lifetime.

Hata hivyo it's too early to make a conclusion what he meant by that post as there is distortion. Anyways, speaking of the case as we currently understand it, i would say, Give what you are capable of giving. Usijitie "ukonki" kwenye hamna... Uwezo wake umefika hapo, na ameona hicho ndicho anaweza hakuna shida kabisa.
 
Ni idea nzuri ila kama angeielekeza kwa vituo vya yatima na wajane or wazee ingekuwa poa sana, maana kugawa tu kwa mtu yeyote inaweza kuwafanya watu wawe wavivu kutafuta, wakitegemea Harmonize aptishe msosi.
 
Mashetani wengi dah hadi anaposaidia bado mnamponda hahah wa bongo Imani imepotea ..dogo ashafanya na atafanya zaidi ya ayo
 
Zero brain ... Akili mavi
Duniani hakuna cha Bure, hicho chakula cha konde boy Nina mashaka nacho, utakuta ukikila bure, unatolewa kafara, na watanzania Kwa kupenda vya bure, aisee konde boy atawatoa kafara wengii
 
Back
Top Bottom