Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakupongeza kwa kutumia ubongo wako kwa usahihi Mkuu sikuliwaza hiloIdea yake ni nzuri na inaweza kuwa ya kweli...inaweza kuwa nyimbo ijayo pia inayoitwa kugawana/nitagawana nao [emoji23]
kumbe kufanya charity ni ujinga?Akimaliza na hili sijui litafuata nini.....
Ujinga mzigo.
hauna haja ya kubeba sahani boss tutakuwa na package za kutumia na kutupaApite na huku madongo poromoka nitakua namsubiri na sahani yangu
Kuna watu wa ajabu konde boy huo ndio uwezo wake au kapenda Kutoa kwa aina hiyo walimwengu kwa lawama.Hilo la kusomesha watoto atafanya mtu mwingine yeye kachagua hili.
StarterMsanii na CEO wa KONDE GANG Harmonize, ametuletea idea yake ya kugawa chakula Cha bure mitaani.
Amethibitisha hilo kwenye post zake za Instagram alizo ziweke Hivi karibuni
Picha.View attachment 1215331View attachment 1215332
😂😂😂 asante sana kwa pongezi mkuunakupongeza kwa kutumia ubongo wako kwa usahihi Mkuu sikuliwaza hilo
I agree with you, Give a man a fish and you feed him for only a day; Teach him how to fish and you feed him for a lifetime.It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa
Kwani nakusaidia kuna ku kopi ??? Watu bana roho mbaya tuIdea nzuri ila kachukua kwa mtoto wa Will Smith hata aina ya gari
Kusaidia hakukopiwe wengi washafanya hivo wew umeona tu kwa Jayden smithHii idea amechukua kwa jaden smith mtoto wa will smith. Ni nzuri kama itafanikiwa kuwafikia wanaostahiki. Abarikiwe kwa kuwa na moyo wa ku share.
Ao kwanini ilo la kusomesha watoto asilifanye yeye ??Hilo la kusomesha watoto atafanya mtu mwingine yeye kachagua hili.
Duniani hakuna cha Bure, hicho chakula cha konde boy Nina mashaka nacho, utakuta ukikila bure, unatolewa kafara, na watanzania Kwa kupenda vya bure, aisee konde boy atawatoa kafara wengii