Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

Kufanyiwa maombi ndio kubadili dini?
Jambazi, makonda,na Anko, wake Maghu walikuwa wakishinda misikitini kufanyiwa Dua! Na, mashekh,na hawakuwahi kubadili dini!
Ni kweli kabisa, Mimi muislamu na marafiki zangu wengi wakristo na nawaheshimu sana sijawahi kuona shida kabisa tuko vizuri pande zote. Shida yangu moja wala sio du'a. Nimeona clip kama 2 hivi za video naanza na Diamond kuvaa cheni la msalaba hapa unajiuliza nini hii? Juzi namuona Mboso cheni ya msalaba unajiuliza nini hii? fashion au?
 
Siku hzii kapata wa kumwandikia kingereza kwenye social media. safi sana.
 
Povu 😃
 
Huyu time will tell, lazima asilimishwe kuingia ukristoni, na challenge atayoipata ni kutengwa na wazee wa Gaza.
 
Labda kuna msambwanda hapo church anausalandia. Huyu Mr Bangi hana akili kabisa
 
Katoka peponi anajiingiza motoni? Innallillah wainnah raajiun

Peponi iliybuniwa na muarabu miaka 500 baada ya Yesu, umewahi kukaa ukajiuliza kwanini hamna sehemu yoyote uislamu umetajwa kabla ya mohammad? hamna utabiri wowote au popote au kwenye chochote, muarabu kakurupuka huko jangwani na kubuni dini yake.
Walau ujio wa Yesu ulitabiriwa kwenye vitabu vyote vya agano la kale, japo pia Yesu alitabiri atakuja pepo mchafu atakayebuni dini yake kupinga Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…