Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

Kufanyiwa maombi ndio kubadili dini?
Jambazi, makonda,na Anko, wake Maghu walikuwa wakishinda misikitini kufanyiwa Dua! Na, mashekh,na hawakuwahi kubadili dini!
Ni kweli kabisa, Mimi muislamu na marafiki zangu wengi wakristo na nawaheshimu sana sijawahi kuona shida kabisa tuko vizuri pande zote. Shida yangu moja wala sio du'a. Nimeona clip kama 2 hivi za video naanza na Diamond kuvaa cheni la msalaba hapa unajiuliza nini hii? Juzi namuona Mboso cheni ya msalaba unajiuliza nini hii? fashion au?
 
Wakuu,

Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola

===

Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!" View attachment 3148941
Jumapili hii Staa huyo wa Bongo Fleva amepanda kwenye madhabahu na kuombewa.

Pia, Soma: Video: Hili ndilo Gari alilopewa Eliud Samwel na Pastor Tony Kapola, Tazama Vibe lake

View attachment 3148942
View attachment 3148952
Siku hzii kapata wa kumwandikia kingereza kwenye social media. safi sana.
 
Wewe ndiyo mpumbavu kwani huyo kabla ya kwenda kanisani alikuwa mtu wenu wa maana sana 😢ndani ya dini yenu🙄 sasa hivi choko (shoga ) mwenye jina na mudi akienda kanisani waislamu wanamlilia kuwa kapotea alitakiwa awe shoga muislamu ... tumieni akili nyinyi makafiri wa dini mtajua LOGIC YANGU DINI MMEZIGEUZA USHABIKI HADI SASA MNAGOMBEA MALAYA NA MACHOKO KUWA NI WADINI ZENU VIPI MUISLAMU WA KWELI AUMIE MOYONI KISA CHOKO KAENDA KANISANI AU KAENDA FREEMASON NK ...UNGESE MTUPU


View: https://www.facebook.com/reel/398165979894101/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Povu 😃
 
Huyu time will tell, lazima asilimishwe kuingia ukristoni, na challenge atayoipata ni kutengwa na wazee wa Gaza.
 
Labda kuna msambwanda hapo church anausalandia. Huyu Mr Bangi hana akili kabisa
 
Katoka peponi anajiingiza motoni? Innallillah wainnah raajiun

Peponi iliybuniwa na muarabu miaka 500 baada ya Yesu, umewahi kukaa ukajiuliza kwanini hamna sehemu yoyote uislamu umetajwa kabla ya mohammad? hamna utabiri wowote au popote au kwenye chochote, muarabu kakurupuka huko jangwani na kubuni dini yake.
Walau ujio wa Yesu ulitabiriwa kwenye vitabu vyote vya agano la kale, japo pia Yesu alitabiri atakuja pepo mchafu atakayebuni dini yake kupinga Kristo.
 
Back
Top Bottom