Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

ngoja nimpigie kura champion wangu mwanamapinduzi
 
Sema mkuu maana hata sielewi, walitaka afie wasafi? Tena bila haya wanamuombea mabaya utafikiri walikuwa wanamlisha wao, Mungu atamvusha salama
Naangalia comments za baadhi yq watu zimejaa husda na wivu kwa kijana Harmonize...mwacheni kijana wa watu atambe kwa maana Mungu pekee ndiye ajuaye hatma ya maisha yake.
 
Imagine ata wengi wanaomtia kichwa hapa hawajui kama harmonize ana nyimbo mpya. Ndio maana tukisema huyo mtoto bila Wasafi afiki popote tunamaanisha.
Ile sio nyimbo yake, ni ya edi kenzo

Sasa sjui unasemaje ana nyimbo mpya , kashirikishwa tu
 
Ile sio nyimbo yake, ni ya edi kenzo

Sasa sjui unasemaje ana nyimbo mpya , kashirikishwa tu
Eddy Kenzo X Harmonize maana yake nyimbo ni ya Eddy Kenzo pamoja na Harmonize wote nyimbo yao.Ndivyo ile nyimbo Ilivyopostiwa youtube.

Kama ingekuwa Eddy Kenzo Featuring Harmonize hapo ndio tungesema nyimbo ni ya Eddy Kenzo .Nazani umeelewa tofauti kati ya X na featuring.
 
Mvuke wa Usafini uo unaishia ishia...Trust me iyo Tuzo anachukua Burna Boy
 
Acha Unafiki
Nimetoka kuvote kwa

Kondeboy

Shawn Mendez

Ariana Grande

na Billie Eilish

Naiman watachukua
Burna Boy unamuweka wapi? wakat ndo anachukua Iyo tuzo..Harmo uko aliko anajua ukweli
 
We kilaza kweli atachukuaje wakati kura ndo zinaamua
Sasa kwani nimesema Kura hazipigwi? Wewe ndio kilaza utanielewa mda ukifika na nina subscribe huu uzi afta matokeo nitakujia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…