Harmonize afikishwe sober house haraka, mihadarati inapeleka kubaya

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.

Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua!

Tafadhali ficha ujinga hata nusu.

Hata haeleweki anaongea nini, hoja hazina bond kabisa ka miguu ya bata.

Shida si mihadarat ila akili ndo hana unaezaligundua hilo kwa kuzingatia mpangiluo wa hoja zake, hana alijiualo ila kakariri kutoka katika kauli flan wa wapotoshaji anaowaona yeye kua ndo wana akili.
 
Kweli kabisa

I
 
Back
Top Bottom