DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hebu eleza kosa La Harmonise ni lipi maana hujaeleza Kosa ila umelalamika tu..Sawa mimi nanawa mikono damu yangu haina hatia nimekueleza vya kutosha ukashupaza shingo
Tangu mwanzo umesema mihadarati ila sijaona mahali ukieleza harmonise kafanya kosa gani..
Twende kisomi sasa Na kwa facts harmo kafanya kosa gani? maana ukishindwa kueleza kosa means its Obvious hana kosa..
Biblia.. Isaya 42:14.
Isaya anasema Mungu anaugua Uchungu wa Kuzaa..
Soma tena.
Mungu anasema Watapata kunyonya na watabembelezwa
Mungu anasema Yeye ndiye amekuzaa